Sunday, January 29, 2017

"Request My song'

'Request my Song' ndo kauli pekee aliyoisema Lil Wine baada ya ngomma zake nyingi kuwa kimya sana katika Radyio mbalimbali hapa nchini...pakua nyimbo mpya ya Lil Wine hapa      Lil Wine Black Angel   lil Wine Black Angel

Friday, January 27, 2017

Black Angel is OUT

Nyimbo ya Msanii Lil Wine Imetoka leo Saa 11;50...Nyimbo hii inmeendelea kufanya vyema katika mitandao mingi...download hapa...Lil Wine_Black Angel...Lil Wine_Black Angel
Tusubiri ndani ya masaa 7 plays ni ngapi kuanzia youtube na mitandao mingine

Sunday, January 22, 2017

World Talks

Lil Wine Cover for his upcoming song Black Angel is said to be the best Cover ever Used in Music history since the 90s...Lil Wine_Black Angel
The 24 year old  Rapper will realese his song soon this February on differents Online Network...Lil Wine Black Angel also here...Lil Wine_Black Angel...and...Lil Wine_Black Angel...and visit our site...Lil Wine_Black Angelall to all we all wait for the most amazing song from our best rapper LIL WINE

Friday, January 20, 2017

Nyimbo Mpya

Msanii toka Big Money Label leo "Wa Mbaruku kaachia ngoma yake mpya kabisa itwayo "Ni Furaha" Ngoma hiyo yenye maadhali ya Kiswazi imetoka leo mchana chini ya uangalizi makini wa Big Money Records...Wa Mbaruku ambaye bado anatamba na kibao chake cha siitaji Vituko amesema baada ya nyimbo hii anaanda video moja kali sana.....pakua hapawww.audiomack.com/wambarukunifuraha

"Black Angel'...coming soon

Its on the Calender this January we expecting the realese of new song from our best rapper Lil Wine...Lil Wine  will be realesing his new song this january the song goes by the name of 'Black Angel" Lil Wine has not say anythig about his song but as fans we aleady know what is coming..so lets stay tune for Black Angel....

Thursday, January 19, 2017

Video cover

watch Wa Mbaruku Siitaji Vituko Cover Video here
Siitaji Vituko' ni ngoma aliyo iachia mkali Wa Mbaruku mwaka jana leo inatambulishwa rasmi ndani ya Bigmoney label. www.bigmoney50.blogspot.com..

Msanii "Wa Mbaruku'

Kama ilivyo kawaida ya Big Money Label kuinua wasanii wadogo hiv majuzi Label hiyo walimchukua msanii mwingine kwa jina la Wa Mbaruku ambaye kwa sasa anamalizia ngoma yake itakayo toka January mwaka huu...Wa Mbaruku anayekuja kwa style ya Dance anatazamiwa kuteka anga la mziki Dunia...
Masikio yetu tusubiri ngoma yake...

Monday, January 16, 2017

Big Money Ya daka msanii Mpya Tena.

Big Money label Hivi Leo imemsign Msanii mpya kabisa ambaye kwa sasa anawika na kibao chake Siitaji Vituko kilicho toka mwishoni mwa mwaka huu…Msanii huyo kwa jina La Wa Mbaruku amemwaga wino ndani ya Big Money Label Hivi punde.
Wa Mbaruku (23) ameungana na wasanii wengine ndani ya label hiyo wakiwemo Lil Wine G40 Young Khalifa Bipa…
Wa Mbaruku ameiambia Big Money label pia amehaidi kufanya kazi kwakujituma na kwa ustadi mkubwa sana.

Wa mbaruku anajianda kuingia Studio hivi Karibuni…tusubiri nini kinakuja.

Saturday, January 14, 2017

Daka lovee Amka

Sanaa Nchini Tanzania inazidi kukua kwani kwa sasa tumeona Tanzania ikiwakilisha vyema kimataifa…Leo napenda kumuongelea Shahzir Talented ambaye ni msanii na pia ni Mwanamitindo
Shahzir Talented maarufu kwa jina la Daka lovee alianza kazi zake pindi yupo chuo kipindi hicho alijizolea umaaruf mkubwa sana kwa kushinda mataji mengi sana hapo chuoni…Shahzir Talented maarufu kama Daka Love alishinda taji la Top Model na Mr.
Shahzir aliendelea na sanaa hata pale alipo maliza chuo…akiitwa Daka Love alitoa ngoma yake itwayo Owkey ambayo ilibamba sana Kitaifa
Shaziri kwa sasa anaendelea na mambo ya Mitindo na Muziki pia.
Source:facebook

Source:General knowledge    

Where are the 2005 American Next Top Models?

Naima Mora was a contestant and winner of Cycle 4 of ANTM.
With her mohawk and introverted personality, Naima was originally 
thought to be a long-shot to walk away with the title of America’s Next Top Model. 
Though her earlier photographs were not as strong as runner-up
 Kahlen Rondot, the judges were blown away by Naima’s final performance on the catwalk. 
Tyra, in particular, felt that
 Kahlen was “the girl who did excellent during
 the semester and kind of failed the final exam,”
 while Naima was “the girl who did fair during 
the semester but killed her final exam.”
 Her win consisted of a fashion spread in Elle,
 a contract with Ford Models and a $100,000 contract with CoverGirl cosmetics. 
She holds the record of being the first and only Top Model contestant to be voted Covergirl of
 the Week from the start to the finish of the cycle. It was also revealed in a Top Model challenge, that Naima is a vegetarian. She was recently voted 
as one of the most memorable contestants by AOL.


She has been seen on television as a guest on The Tyra Banks Show, on the second season premiere of Veronica Mars, and in a CoverGirl commercial with Yoanna House.
Naima and Cycle 3’s Ann Markley were Trophy Girls at the 2005 Primetime Emmy Awards. Mora also served as a judge at the Miss Teen USA Pageant in 2005. Naima was a guest host at the Ramapo College Enerve Couture Fashion Show in Spring 2006.
Naima has done print modelling for CoverGirl, ELLE Magazine, Fuego Magazine, US Weekly Magazine, Radaar Magazine, IN Touch Magazine, Star Magazine, Teen People Magazine, Split Clothing, amd Jazz Album Samsung. Naima’s runway shows include Christopher Deane Spring 2006 Collection, Gharani Strok Fall 2005, Carlos Miele Fashion Show, Walmart and ELLEgirl Presents Dare To Be You Spring 2006, Fashion Comedy Style 2005 (Charity Event), and New York Fashion Week 2007.[citation needed] She has modelled with her sisters twice: with her sister, Ife, for iTunes and with her twin, Nia, for Cycle 2’s Camille McDonald’s lingerie line, Lingerwear.
In 2006, she wrapped up filming on an independent film called Sarbanes-Oxley and made an appearance in a music video for TV on the Radio’s “Wolf Like Me.”
In 2007, she was on the cover of U&U magazine and Uzuri magazine and was photographed by Romer Pedrome and Derek Blanks.
In 2008, she had a cover and editorial in Vicious magazine. Signed with 301 Model Management in Miami and Basic Model Management in New York City. She got a showcard for Fashion Week SS09 and walked in the Project Runway Finale for designer Joe Farris.
She is currently signed with 301 Model Management and Basic Model Management NY.
Naima was the former vocalist for the unsigned band Chewing Pics. Their EP, “Tarantula” was released on March 10, 2008. She is now a member of musical duo Galaxy on Tar. In May of 2010, they released two new singles via their label Lapdance Academy. The group is currently performing live throughout New York and touring the United States.

Friday, January 13, 2017

405 plays a day

Nyimbo Ya Msanii machachari kutoka Tanzania Lil Wine itwayo Pokea Simu imetikisa mtandao wa audiomack baada yakupata 405 plays ndani ya masaa 24...Nyimbo hiyo ambayo kiukweli ni nzuri
kutokana na michano hatari ya Rapper lil Wine huku chorus ikivutia zaid na kuteka masikio ya wasikilizaji wengi
Katika mitandao mingi ya kijamii wengi walitoa comment zao juu ya wimbo huu...Miongoni ya walio toa comment ni Frankel Mtumiaji mtandao wa Soundcloud yeye alisema nyimbo ya Pokea Simu ni bora na ni makini sana



Frankel ambaye aliguswa sana na michano ya msanii Lil Wine alisema kwamba yupo tayari kushirikiana na Label ya Big Money katika kumtengenezea na kumtumia  Lil wine Instrumental kali zitakazo mfikisha mbali zaidi...
Nyimbo hii kali utaipakua hapaLil Wine_Pokea Simu..asante
Amber Lulu ajizolea sifa kubwa babada ya kutangazwa na Label ya Big Money kuwa ndiye Video Queen bora wa Mwaka 2016 hapa Tanzania...Amber lulu aliyejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kazi yake
nzuri aliyoionyesha katika video ya Inde ya Dully sykes akiwa na Hamonize...Amber lulu akiwa video queen aliitendeaa haki video hiyo
kwa ustadi mkubwa sana...Pia Amber Lulu amejizolea umarufu mkubwa kwa style na mitindo ya upigaji picha zake.
Amber lulu ni video queen ambaye kwa mujibu wa Label ya Big Money inamtambua Amber Lulu Kuwa Video queen Bora Africa.





Masikio yetu...we mic u

Utafiti uliofanywa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu Msanii gani mkongwe ambaye bado anatamanika sana masikioni mwa mashabiki wengi hapa nchini Tanzania, Utafiti huo uliofanywa na label Big Money imegundua msanii H Baba  ni miongoni ya wasanii wazamani wanao tamanika sana masikioni mwa mashabiki weng..H Baba aliye jizolea umaarufu mkubwa sana babada ya kutoka na kibao chake cha Mpenzi Bubu kilicho hit sana miaka
ya 2000, Akishilikiana na msanii mwezake Pasha
H Baba alitoa Ngoma itwayo Ni bebe ambayo pia ilijizolea umaaruf Mkubwa sana.
Bila shaka H Baba atarudi kwenye game na kupagawisha mashabiki kama ilivyo kawaida yake
Karibu H Baba ndani ya game we love you and we need you...hayo ni maneno ya mashabiki wakiwa na kiu sana ya kumsikia H Baba akija na kitu kipya...Thanx

Thursday, January 12, 2017

Soon on Big Money

Young Female Artist by the name of Hapiez soon will sign up with the Label Maybe this year March..........Hapiez is becoming aggressive to burst into the Music Industry wishing to go further
The 21 year old  Artist will join other Members such as G40,Lil Wine<young Khalifa,Bipa....
Hapiez said'im looking forward to join Big Money Label since the label is becoming popular and wealth.
all to all we wish Hapiez best of luck.


New Artist from Big Money Label just realesed his song video audio Cover
young Khalifa is the best Artist that i believe he will break in the Music Industry moreover Young Khalifa still not Famous he has great outcome and impact the Music Industry...Big Money Label will give Young Khalifa full support.
Nothing is impossible but all are possible to one paying the Price...The label will give Young Khalifa Promotions and Advices to enhace is Career.







Another Big money label Member Lil Wine has Promised the Label to have close working relations

Lil Wine who best known as the best Rapper never being is still working on his coming single which will be out on April although himself has not confirm that...Lil Wine will work hard with Young Khalifa this Year all wish them lucky.

New Artist

Big money Presents new hip-hop RnB Artist goes by the name Young Khalifa
Thish new Artist has just realesed his new and first single after few days of sign up with Big Money label
audiomack.com/youngkhalifa...Download and share is new single Roll Up by folowing the Link above..THANX

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...