Kama ilivyo kawaida ya Big Money Label kuinua wasanii wadogo hiv majuzi Label hiyo walimchukua msanii mwingine kwa jina la Wa Mbaruku ambaye kwa sasa anamalizia ngoma yake itakayo toka January mwaka huu...Wa Mbaruku anayekuja kwa style ya Dance anatazamiwa kuteka anga la mziki Dunia...Masikio yetu tusubiri ngoma yake...
No comments:
Post a Comment