Friday, January 13, 2017

405 plays a day

Nyimbo Ya Msanii machachari kutoka Tanzania Lil Wine itwayo Pokea Simu imetikisa mtandao wa audiomack baada yakupata 405 plays ndani ya masaa 24...Nyimbo hiyo ambayo kiukweli ni nzuri
kutokana na michano hatari ya Rapper lil Wine huku chorus ikivutia zaid na kuteka masikio ya wasikilizaji wengi
Katika mitandao mingi ya kijamii wengi walitoa comment zao juu ya wimbo huu...Miongoni ya walio toa comment ni Frankel Mtumiaji mtandao wa Soundcloud yeye alisema nyimbo ya Pokea Simu ni bora na ni makini sana



Frankel ambaye aliguswa sana na michano ya msanii Lil Wine alisema kwamba yupo tayari kushirikiana na Label ya Big Money katika kumtengenezea na kumtumia  Lil wine Instrumental kali zitakazo mfikisha mbali zaidi...
Nyimbo hii kali utaipakua hapaLil Wine_Pokea Simu..asante

No comments:

Post a Comment

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...