Friday, January 13, 2017

Amber Lulu ajizolea sifa kubwa babada ya kutangazwa na Label ya Big Money kuwa ndiye Video Queen bora wa Mwaka 2016 hapa Tanzania...Amber lulu aliyejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kazi yake
nzuri aliyoionyesha katika video ya Inde ya Dully sykes akiwa na Hamonize...Amber lulu akiwa video queen aliitendeaa haki video hiyo
kwa ustadi mkubwa sana...Pia Amber Lulu amejizolea umarufu mkubwa kwa style na mitindo ya upigaji picha zake.
Amber lulu ni video queen ambaye kwa mujibu wa Label ya Big Money inamtambua Amber Lulu Kuwa Video queen Bora Africa.





No comments:

Post a Comment

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...