Monday, January 16, 2017

Big Money Ya daka msanii Mpya Tena.

Big Money label Hivi Leo imemsign Msanii mpya kabisa ambaye kwa sasa anawika na kibao chake Siitaji Vituko kilicho toka mwishoni mwa mwaka huu…Msanii huyo kwa jina La Wa Mbaruku amemwaga wino ndani ya Big Money Label Hivi punde.
Wa Mbaruku (23) ameungana na wasanii wengine ndani ya label hiyo wakiwemo Lil Wine G40 Young Khalifa Bipa…
Wa Mbaruku ameiambia Big Money label pia amehaidi kufanya kazi kwakujituma na kwa ustadi mkubwa sana.

Wa mbaruku anajianda kuingia Studio hivi Karibuni…tusubiri nini kinakuja.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...