Saturday, January 14, 2017

Daka lovee Amka

Sanaa Nchini Tanzania inazidi kukua kwani kwa sasa tumeona Tanzania ikiwakilisha vyema kimataifa…Leo napenda kumuongelea Shahzir Talented ambaye ni msanii na pia ni Mwanamitindo
Shahzir Talented maarufu kwa jina la Daka lovee alianza kazi zake pindi yupo chuo kipindi hicho alijizolea umaaruf mkubwa sana kwa kushinda mataji mengi sana hapo chuoni…Shahzir Talented maarufu kama Daka Love alishinda taji la Top Model na Mr.
Shahzir aliendelea na sanaa hata pale alipo maliza chuo…akiitwa Daka Love alitoa ngoma yake itwayo Owkey ambayo ilibamba sana Kitaifa
Shaziri kwa sasa anaendelea na mambo ya Mitindo na Muziki pia.
Source:facebook

Source:General knowledge    

No comments:

Post a Comment

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...