Friday, January 13, 2017

Masikio yetu...we mic u

Utafiti uliofanywa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu Msanii gani mkongwe ambaye bado anatamanika sana masikioni mwa mashabiki wengi hapa nchini Tanzania, Utafiti huo uliofanywa na label Big Money imegundua msanii H Baba  ni miongoni ya wasanii wazamani wanao tamanika sana masikioni mwa mashabiki weng..H Baba aliye jizolea umaarufu mkubwa sana babada ya kutoka na kibao chake cha Mpenzi Bubu kilicho hit sana miaka
ya 2000, Akishilikiana na msanii mwezake Pasha
H Baba alitoa Ngoma itwayo Ni bebe ambayo pia ilijizolea umaaruf Mkubwa sana.
Bila shaka H Baba atarudi kwenye game na kupagawisha mashabiki kama ilivyo kawaida yake
Karibu H Baba ndani ya game we love you and we need you...hayo ni maneno ya mashabiki wakiwa na kiu sana ya kumsikia H Baba akija na kitu kipya...Thanx

No comments:

Post a Comment

Featured Post

Fact

Did You Know That Lil'Wine is The First Africas Hiphop Artist To have his Label Printed Country's Cars Registration Plate Nu...